Biashara ya mtandao

biashara ya mtandao(Network Marketing) ni kama ifuatavyo:-

Biashara ya Mtandao maana yake ni biashara inayohusisha usambazaji wa huduma au bidhaa Fulani kupitia watu, mtu mmoja baina ya mwingine, kwa kifupi ni kwamba kutokana na hali hii ya usambazaji, hivyo basi hahiitaji matangazo ya aidha Televisheni, Magazeti, Redio au Mabango ili iweze kufahamika, mtu anayesambaza au anayefanya biashara hii anachukuliwa kuwa kama ndo mtangazaji wa biashara husika, hivyo basi kipato au gharama ambayo ingetumika ktk matangazo anarudishiwa yule mfanyabiashara kama bonasi kila mwisho wa mwezi.

Tukirudi ktk biashara niizungumziayo mimi ya FOREVER LIVING PRODUCTS ambayo ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha juu ya uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za afya na urembo kutokana na mmea wa Aloe Vera, kampuni ambayo ilianzishwa mwaka 1978 na imesambaa ktk zaidi ya nchi 140, Tanzania ikiwemo.

Ubora wa bidhaa zake pamoja na mfumo wa biashara ndiyo kitu pekee sisi kama wafanyabiashara wa Forever Living tunajivunia na kujipatia kipato kikubwa bila kutumia mtaji mkubwa wala kuangaliwa uwezo wetu kitaaluma.

Sisi kama wasambazaji kazi kubwa tunaiyofanya ni kuwashauri watu juu ya Afya zao ili waweze kutumia bidhaa zetu ambazo hazina kemikali wala athari zozote mwilini, ushauri tunautoa kutokana na elimu ya bure ya afya ambayo yeyote kama mfanyabiashara wa Forever Living anapatiwa, pia tunawapa fursa wengine wanaotaka kubadilisha maisha yao kikipato kujiunga na kampuni yetu ambapo mtu atakuwa na uwezo wakumiliki biashara yake kwa kuwashirikisha wengine anaowafahamu na wale asio wafahamu kama mimi nifanyavyo kwako, pia hapo ndipo unajenga mtandao wako(ambao kifupi ni wale watu uliwatambulisha wewe kwenye kampuni pamoja na wale waliotambulishwa na wale uliwatambulisha wewe, ni kama ukoo ambao tunaamini hauna mwisho)

Jinsi kupata kipato, kinachoangaliwa ni biashara iliyofanywa na wewe pamoja na wote waliojiunga chini yako na wale wailoingizwa na uliowaingiza wewe, tunaita bonasi ambayo ukufikia ktk akaunti yako kila mwisho wa mwezi mbali kabisa na mauzo ya bidhaa utakayoyafanya kwa rejareja(bonasi na faida ya mauzo ya rejareja vyote vinakuja mfukoni mwako)

Faida zilizonifanya mimi nijiunge na biashara hii ambazo naamini hata wewe ukipenda kujiunga utazipata ni pamoja na:-

1) Unaanza kwa mtaji Mdogo

2) Unatumia muda wako wa ziada, hivyo hupotezi chochote

3) Mafunzo ya bure yanatolewa, yatakayokupa mbinu na uelewa zaidi juu ya biashara ya mtandao

4) Mwongozo unaotolewa na watu wailofanikiwa ktk biashara hii

5) Kipato kisicho na kikomo

6) Kutojali elimu aliyonayo mtu zaidi tu kama anaweza kuongea na watu

7) Kuinua hali yako yakipato na maisha kwa ujumla kutoka hali ya chini kwenda ya juu.

8) Kukulea na kukuhakikishia maisha yako yajayo na ya familia yako.

NB:

Maelezo niliyokupatia ni machache mno na unaweza ukawa umeelewa kidogo au vile kinyume na matarajio yako, sasa basi tuna semina tunazozifanya BURE kabisa kwa ajili ya wageni kuielewa biashara, semina zinaendeshwa ktk mikoa ya DAR, ARUSHA, MWANZA, MBEYA na MOROGORO.Kama upo karibú na mikoa hiyo nijulishe nikupatie maelezo yakufika kwenye semina husika kwa uelewa zaidi.

KARIBU TUBADILISHE MAISHA YETU.
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon