MADEREVA TUWE MAKINI MWISHO WA MWAKA

Blog ya picha na maisha ya hapa bongo na wadau wengine wanapenda
kuwaomba watumiaji wa magari hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka
kuwa makini ili tuvuke mwaka salama,ajali hii imetokea maeneo ya
kikatiti ARUSHA

Meshack Maganga 2009
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon