MAMBO USIYO YAFAHAMU KUHUSU TANZANIA

Mdau wa Tumaini Univest akiwa meserani

Wdau wengine wanaojitokeza kufanya utalii wa ndani

Utalii wa ndani -fahamu nchi yakowadau wa blog ya picha na maisha wakiwa Vekisheni


Watanzania kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakisisitizwa
juu ya kufanya utalii wa ndani lakini uzoefu unaonyesha kwamba
ni watu wachache ambao hufanya hivyo.wanapokuja wageni kutoka
nje utawasikia wabomgo wakilalamika kwamba wanaibiwa na hao
wageni na maneno mengine yasiyokuwa ya msingi ,swali wewe
mtanzania unayafahamu maeneo mangapi ya utalii mkoani kwako?
katika picha hapo juu ni MESERANI SNAKE PARK JE NI WATU
WANGAPI WA PALE KISONGO NA ARUSHA KWA UJUMLA
WAMEFIKA HAPO?Copyright Meshack Maganga 2009
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon