TIMU YA CHUO CHA TUMAINI MAKUMIRA MDEBWEDO KWA WAZENJI


Vijana wa wa nanihii wa hapa MUCO walifanyiwa kitu mbaya baada ya kufungwa na timu ya chuo kikuu cha Zanzibar mabao 6 kwa nanihii juhudi zinafanywa kumtafuta msemaji wa timu ya chuo mr.Kazoka ili kujua kulikoni Timu kubwa ya chuo inafaungwa mabao mengi kiasi hicho bila waziri mhusika kuachia ngazi


Meshack Maganga 2009
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon