MARUFUKU KUKAA HAPA !!

Mbongo ambae hatujuwi alikuwa na maana gani kukaa hapo huku
akiendelea kutuma msg za JIACHIE kwa simu yake ya KICHINA
akiwa amekaa sehemu ambayo hairuhusiwi kukaa .huu ni ungwana kweli?
au mdau hakupita kwenye shule za kata? toa maoni yako.
Picha hii ipo kwenye blog ya mtaa kwa mtaa

Meshack Maganga 2009
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon