MKWALA MZITO KUTOKA KWA MWADILI WA CHUO

Mwadili wa chuo kikuu cha Tumaini kampasi
ya Makumira Arusha aepiga marufuki tabia ya wanafunzi
wa kike hasa wanaoishi hosteli ya Annah kuanika ngou zao kwenye Veranda kwani ni uchafuzi wa mazingira na pia ni chanzo cha uharibifu
wa kuta za Hosteli

Meshack Maganga 2009
Previous
Next Post »

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon