TUMETOKA MBALI JAMANI

Huwezi amini mpaka sasa kuna shule ambazo
wanafunzi hawana viatu hata YEBOYEBO



Wanafunzi katika moja ya shule nilizopita
kweli Elimu ni safari

Usitegemee kusaidiwa na Goverment, jisaidie mwenyewe
kwa kujielimisha, azawaizi hatutafika kwenye nchi ya AHADI
WADAU NAOMBA KUTOA HOJA




Meshack Maganga 2010
Previous
Next Post »

3 comments

Write comments
6:48 am delete

We Meshack nawe kwa ukorofi. Bulolambeshi ulikwenda kutafuta nini? Ni karibu na nyumbani huko na yalikuwa maeneo yetu ya "mawindo" enzi zile.

Umasikini bado ni mkali na hata hizo YEBOYEBO (sijui ni nini) siyo rahisi kuzipata. Zunguka Tanzania hii - na hasa vijijini ukaone!

Reply
avatar
emu-three
AUTHOR
9:09 am delete

Kweli tumetoka mbali, na niheri siku hizi wanavaa angalau yeboyebo, lakini mimi nakumbuka tulikuwa asilimia kubwa tunapekua

Reply
avatar
9:56 pm delete

MBONA UMEPOTEA SANA. KULIKONI????

Reply
avatar

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon