Mdau wa Tumaini Univest akiwa meserani
Wdau wengine wanaojitokeza kufanya utalii wa ndani

Utalii wa ndani -fahamu nchi yako

wadau wa blog ya picha na maisha wakiwa Vekisheni
                juu ya kufanya utalii wa ndani lakini uzoefu unaonyesha kwamba
               ni watu wachache ambao hufanya hivyo.wanapokuja wageni kutoka
              nje utawasikia wabomgo wakilalamika kwamba wanaibiwa na hao 
              wageni na maneno mengine yasiyokuwa ya msingi ,swali wewe 
             mtanzania unayafahamu maeneo mangapi ya utalii mkoani kwako?
             katika picha hapo juu ni MESERANI SNAKE PARK JE NI WATU 
             WANGAPI WA PALE KISONGO NA ARUSHA KWA UJUMLA
              WAMEFIKA HAPO?
Copyright Meshack Maganga 2009
Sign up here with your email

MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon