Mashindano yaliyokuwa yakiendelea hapa chuo kikuu cha Tumaini kampasi ya huku A-TAUNI yamemalizika juzi huku, wanafunzi wa mwaka wa kwanza Elimu wakiibuka vinara wa mashindano hayo na hivyo kupewa zawadi ya mbuzi mnyama na kombe.
Hata hivyo baada ya mashindano, Rais wa wanafunzi amewaachisha kazi mawaziri wa michezo sababu bado haijapatikana .
Habari kamili utazipata hapahapa ndani ya blog
Hata hivyo baada ya mashindano, Rais wa wanafunzi amewaachisha kazi mawaziri wa michezo sababu bado haijapatikana .
Habari kamili utazipata hapahapa ndani ya blog
Meshack Maganga 2009
Sign up here with your email
MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon