Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Daktari Bingwa wa (kulia) macho wa
Watoto, kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, ‘Optometrist’, Judith
Mwenda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika Mabanda kujionea
shughuli za upimaji macho kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa
miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya
macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na
Benki ya Standard Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Agrey Manry, (wa tatu kushoto) ni Mtoto
Abubakar Siaba Kaim, mkazi wa Keko Mwanga, akipimwa macho. Picha na OMR
Sign up here with your email
MAONI ConversionConversion EmoticonEmoticon